KUKAMATWA KWA PONDA KOVA AORODHESHA TUHUMA DHIDIYAKE!
KIONGOZI wa Jumuiya na Taasisi za Kiisilamu nchini Sheikh Ponda Issa
Ponda ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi jana usiku ambapo kwa mujibu wa
Kamanda Kova wamemkamata wakati akienda kwenye mafichoyake muda mfupi
tu baada ya kushushwa kwenye pikipiki kwenyeeneo la Chang'ombe jijini
Dar es Salaam.
Mbali na kukamatwa Kiongozi huyo pia watu wengine 38 wamekamatwa majira ya saa 4:00 usiku baada ya kufanya operesheni maalum. Watu hao wanakamatwa kwa madaikuwa ni wafuasi wa sheikh Ponda aliongoza kundi hilo kuvamia kiwanja No.311/3/4BLOCK "T" eneo la Chang'ombe Manispaa ya Temeke.

Kwenye Taarifa ya Kova kumeelezwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za kusababisha vurugu na vitisho,
Sambamba na hilo Ponda na wafuasi wake anatuhumiwa pia kinume cha sheria walisababisha kuvunjwa kwa makanisa zaidi ya manane siku ya 12/10/2012.
No comments:
Post a Comment