KAMA UNAHABARI ZA KISIASA KIUCHUMI KIJAMII NA BURUDANI NA MICHEZO WASILIANA NAMI KWA 0714689297 AU e- mail salehthomas@yahoo.com
Sunday, November 4, 2012
Mahafali ya kumi ya chuo kikuu cha kumbukumbu ya kairuki

Dr.Chacha Erenest akikabidhiwa cheti na zawadi ya mwanafunzi bora katika magonjwa ya watoto

Dr. Erenest chacha mmoja wapo kati ya wahitumu wa Bsc. in medicine
Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki wakingia katika ukumbi wa diamond wakati wa sherehe ya mahafali na kunukiwa stashahada zao kwa wahitimu leo |
Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya hubert kairuki wakila kiapo cha utii katika fani ya udakitari wa binadamu wakatik wa mahafali ya kumi ya chuo hicho leo |
viongozi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya hubert kairuki wakati wa mahafali ya kumi yaliofanyika leo |
No comments:
Post a Comment